Maelezo
Afilieti Network Limited tunatengeneza website za kisasa na zenye muonekano wa kuvutia kwa kutumia WordPress kulingana na mahitaji yako binafsi au ya biashara. Website zetu zinakuwa rahisi kutumia, zinafunguka vizuri kwenye simu na kompyuta, na zinaweza kusaidia kukuza biashara au huduma zako mtandaoni.
Tunatengeneza aina mbalimbali za website:
- Website za biashara
- Online stores (eCommerce)
- Blog na news websites
- Portfolio websites
- Real estate websites
- Educational websites
- Service websites
- Landing pages na nyingine nyingi
Unachopata kwenye Basic Package
- Website ya kisasa yenye muonekano mzuri
- Responsive design (simu & computer)
- Kurasa muhimu (Home, About, Contact n.k.)
- WhatsApp integration
- Basic SEO setup
- Contact form
- Speed optimization ya msingi
- Mafunzo mafupi ya matumizi ya website
Faida kwa biashara yako
- Kuongeza uaminifu wa biashara yako mtandaoni
- Kuwafikia wateja wengi zaidi
- Kuonyesha bidhaa au huduma zako kitaalamu
- Kupokea mawasiliano au oda kwa urahisi
- Kupanua biashara yako kidijitali
Kwa nini utuchague?
Tunazingatia:
- Ubora wa kazi
- Muonekano wa kisasa
- Urahisi wa matumizi
- Support baada ya website kukamilika
Mfano wa Kazi Yetu ni hii platform ya Afilieti
Platform ya kisasa ya kidijitali inayowezesha watu kuuza, kutangaza na kupata bidhaa pamoja na huduma mbalimbali kwa urahisi kupitia mfumo wa mtandaoni. Afilieti imeundwa kwa muonekano wa kisasa, matumizi rahisi na experience inayofanana na app za kisasa za ecommerce.
Anza safari yako ya kidijitali leo kwa website bora na yenye mvuto.
