Mafunzo ya akili mnemba (AI)

Sambaza:

Sh 20,000

Biashara:  Ujuzi Kidigitali
Aina

Maelezo

Karibu kwenye mafunzo ya kisasa ya Artificial Intelligence (AI) yatakayokuwezesha kuelewa na kutumia teknolojia ya AI kwenye kazi, biashara, ubunifu na maisha ya kila siku

Mafunzo haya yameandaliwa kwa mtindo rahisi kueleweka, yakimfaa mwanafunzi, mfanyabiashara, freelancer, content creator au mtu yeyote anayetaka kwenda sambamba na ulimwengu wa kidijitali unaobadilika kwa kasi.

Pia utaunganishwa kwenye community ya ujuzi wa kidijitali kwa support, networking na kujifunza zaidi

Utakachojifunza ndani ya kozi

A) Introduction to AI

  • AI ni nini?
  • Namna AI inavyofanya kazi
  • Matumizi ya AI katika maisha na biashara

B) Generative AI

Jifunze kutengeneza kwa kutumia AI:

  • Picha
  • Video
  • Sauti
  • Matangazo
  • Nyimbo
  • Content mbalimbali za kidijitali

C) Agentic AI

Utajifunza namna AI inaweza kufanya kazi kama msaidizi mwenye uwezo wa:

  • kupanga kazi
  • kusaidia maamuzi
  • kufanya automation

D) Vibe Coding

Jifunze kutumia AI kutengeneza:

  • Apps
  • Websites
  • Software mbalimbali

hata kama si programmer wa kiwango cha juu

E) AI kwa Ajili ya Biashara

Utajifunza:

  • Namna ya kutumia AI kuongeza kipato
  • Kutengeneza content za biashara
  • Marketing kwa kutumia AI

Mfumo wa Mafunzo

Mafunzo yatafanyika kupitia kwenye App na Google Meet ambapo utapata nafasi ya:

  • Kujifunza live
  • Kuuliza maswali
  • Kufanya practical sessions

Baada ya Mafunzo

  • Utapata cheti cha ushiriki

Huu ni muda sahihi wa kujifunza AI na kujiweka mbele kwenye dunia ya teknolojia ya kisasa.

  • #ChatGPT 💬🤖 #Leonardo AI 🎨✨ #Gemini ♊💎 #MidJourney 🌌🖼️ #Claude 🧠📘 #Kling AI 🎬⚡#Lovable 💜💻 #Cursor ⌨️⚡ #Qwen 2.5 🌐🧠
Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma