Maelezo
Karibu kwenye mafunzo yanayokupa ujuzi wa vitendo kwenye ulimwengu wa mitandao na mifumo ya usalama wa kamera.
Kozi hii imeandaliwa kwa wanafunzi, vijana, wafanyakazi na wafanyabiashara wanaotaka kujifunza teknolojia zinazohitajika sana kwenye soko la ajira la sasa. Mafunzo yanazingatia practical zaidi ili mwanafunzi aweze kufanya kazi halisi mara baada ya kumaliza mafunzo.
Kozi hii inapatikana kwenye matawi yetu yote mawili; Mbagala – Dar es salaam na Kiembesamaki – Unguja
Utakachojifunza
- Networking setup & devices
- CCTV installation & setup
- Cable crimping & IP addressing
- Camera types & placement
- Remote viewing & footage backup
Muda wa mafunzo
- Mwezi mmoja (wiki 4)
Ada ya Mafunzo
- Malipo ya kwanza: 60% = Tsh 145,000
- Malipo yaliyobaki: 40% = Tsh 95,000
Salio linalobaki mwanafunzi atamalizia akiwa tayari anaendelea na masomo.
Kozi Hii Inafaa Kwa:
- Vijana wanaotafuta ujuzi wa kujiajiri
- Wanaotaka kufanya kazi za IT support
- Wanaotaka kujifunza CCTV installation
- Wafanyakazi wanaotaka kuongeza ujuzi
- Mtu yeyote anayependa teknolojia na mifumo ya usalama
Jifunze ujuzi wa kisasa unaohitajika kwenye biashara, taasisi na kampuni mbalimbali, huku ukijengea uwezo wa kujiajiri au kupata ajira kwenye sekta ya teknolojia.
