Maelezo
Ususi ni taaluma inayohusisha kutengeneza na kupamba nywele kwa mitindo mbalimbali ili kuongeza uzuri na mpangilio wa nywele.
Kozi ya ususi inawasaidia wanafunzi kujua namna ya kusuka, kutunza nywele, kutumia vifaa vya kisasa vya saluni pamoja na kuwahudumia wateja kwa ustadi mkubwa.
Je, unatamani kuwa mtaalamu wa urembo na kujiajiri au kuajiriwa? Huu ndio muda wako!
📚 KOZI ZETU
✅ Makeup na Kusuka Nywele Aina Zote
💰 Ada: TSh 300,000
⏳ Muda: Miezi 3
✅ Full Course ya Salon
(Kujifunza kila kitu kinachohusu salon)
- • Makeup
- • Kusuka Nywele
- • Kubond
- • Kuosha Nywele
- • Kuset
- • Kuweka Dawa
- • Facial
- • Wax
- • Na Mengine Mengi
💰 Ada: TSh 600,000
⏳ Muda: Miezi 4
📌 Mahitaji ya Mwanafunzi: TSh 158,000
🏠 Hostel Zinapatikana Kwa wanaotoka mbali
💰 Ada: TSh 100,000 kwa mwezi
Tunakujengea Ujuzi wa Kazi na Biashara.
Kwanini Tujifunze Ususi
- Kujiajiri kwa kufungua saluni binafsi
- Kupata kipato cha kila siku kupitia huduma za nywele
- Kuongeza ujuzi wa urembo na ubunifu
- Hutoa nafasi ya kufanya kazi kwenye saluni kubwa au huduma za urembo
- Husaidia kujenga kujiamini na mahusiano mazuri na wateja
- Mahitaji ya huduma za ususi yanaongezeka kila siku
