🛒

Bus simulator Tanzania

Sambaza:

Original price was: Sh 18,000.Current price is: Sh 15,000.

Biashara:  Swahili Gaming Tz

Maelezo

Karibu kwenye experience halisi ya kuendesha mabasi ndani ya mikoa mbalimbali ya Tanzania kupitia game lenye maps za Tanzania, mazingira ya kuvutia, na safari zinazokupa hisia za kuwa barabarani kweli.

Kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza, Arusha, Dodoma na mikoa mingine, kila safari ni adventure yenye vibe ya ki-Tanzania 

Kinachopatikana ndani ya game:

  • Tanzania Maps zilizoboreshwa
  • Mabasi mbalimbali yanayotumika Tanzania
  • Gameplay smooth na realistic
  • Compatible na simu nyingi za Android
  • Experience ya usafiri wa ndani kwa style ya gaming

VERSION ZA GAME

💻 Computer Version

  • RAM: 4GB+
  • Setup Size: 3GB
  • Bei: Tsh 25,000

📲 Android Version

  • RAM: 2GB+
  • Setup Size: 650MB
  • Bei ya kawaida: Tsh 18,000

Muhimu:

Malipo yanafanyika baada ya kupewa namba rasmi ya malipo. Tunazingatia uaminifu na huduma bora kwa kila mteja.

Game linafanya kazi kwenye simu nyingi za Android isipokuwa baadhi ya device zenye uwezo mdogo kama baadhi ya simu za M-HORSE na baadhi ya ZTE.

Kama unapenda games za usafiri na mabasi ya Tanzania hii ni experience ambayo hutakiwi kuikosa. Barabara zinakusubiri.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma