Homebase water dispenser

Sambaza:

Sh 395,000

Maelezo

Pata urahisi wa kupata maji ya moto, baridi au ya kawaida kwa kifaa kimoja cha kisasa. Homebase Water Dispenser imeundwa kwa muonekano wa kuvutia na matumizi rahisi nyumbani, ofisini au biashara.

  • Dumu la maji hukaa chini hivyo ni rahisi kuweka na kubadilisha
  • Mifereji 3 ya maji: Moto, Baridi na Kawaida
  • Muundo wa kisasa na unaookoa nafasi
  • Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini

Delivery BURE ndani ya Dar es Salaam

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma