Mashine ya kukamua juice

Sambaza:

Maelezo

Mashine hii inafaa kwa biashara ya juisi ya miwa kwenye maeneo mbalimbali kama hotel, restaurant, juice center na biashara za mitaani.

Sifa za mashine

  • Uwezo mkubwa wa kukamua juisi (hadi lita 150 kwa lisaa)
  • Rahisi kutumia
  • Imara na ya kudumu
  • Matumizi madogo ya umeme
  • Hutoa juisi safi na yenye ubora

Inafaa kwa

  • Juice business
  • Hotel na restaurant
  • Supermarket
  • Biashara za mitaani
  • Matumizi ya nyumbani

Faida za kutumia

  • Huongeza kasi ya uzalishaji
  • Huokoa muda wa kazi
  • Rahisi kusafisha
  • Huongeza mapato kwenye biashara

Tunatuma mikoa yote Tanzania.

 

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma