SISOYA Pharmacy Management System

Sambaza:

Sh 10,000

Biashara:  SISOYA Tech

Maelezo

SISOYA DLDM ni Pharmacy Management System iliyotengenezwa kwa uhalisia wa maduka ya dawa

  • Inventory yenye dawa za TMDA tayari
  • POS inayoruhusu uuzaji wa half dose
  • Sales Returns bila usumbufu
  • Ripoti za kifedha: mauzo, faida & margin
  • Dawa zinazouzwa zaidi (trending medicines)
  • Tahadhari za stock ndogo & karibu ku-expire
  • Udhibiti wa watumiaji na zaidiJaribu bure kwa siku 7, na anzia kwa Tsh 10,000/= tu

Acha kubahatisha biashara. Tumia mfumo unaokupa udhibiti, uwazi, na faida.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma