Maelezo
Mysol ni kampuni ya sola ya Ufaransa inayotoa mitambo Bora ya sola kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na ya biashara.
SOLA BILA TV
W80 BILA TV
Unapata Sola, Betri, Taa na Usb chaja
- Kianzio ni sh 84,630
- Ofa mwezi mmoja
- Malipo kwa siku sh 2,393
- Malipo kwa mwezi sh 71,800
- Malipo ni miaka miwili
- Warranty ni miaka minne
W120 BILA TV
Unapata Sola, Betri, Taa na Usb chaja
- Kianzio ni sh 99,400
- Ofa mwezi mmoja
- Malipo kwa siku sh 2,720
- Malipo kwa mwezi sh 81,600
- Malipo ni miaka miwili
- Warranty ni miaka minne
W200 BILA TV
Unapata Sola, Betri, Taa na Usb chaja
- Kianzio ni sh 158,900
- Ofa mwezi mmoja
- Malipo kwa siku sh 4,190
- Malipo kwa mwezi sh 125,700
- Malipo ni miaka miwili
- Warranty ni miaka minne
SOLA IKIWA NA TV
Unapata Sola, Betri, TV, Taa, Redio, Tochi na Usb chaja
W55 FULL PACKAGE NA TV24
- Kianzio ni sh 111,600
- Ofa mwezi mmoja
- Malipo kwa siku sh 2,570
- Malipo kwa mwezi sh 77,250
- Malipo ni miaka miwili
- Warranty ni miaka minne
W120 FULL PACKAGE NA TV32
- Kianzio ni sh 156,450
- Ofa mwezi mmoja
- Malipo kwa siku sh 4,120
- Malipo kwa mwezi sh 123,600
- Malipo ni miaka miwili
- Warranty ni miaka minne
W200 FULL PACKAGE NA TV43
- Kianzio ni sh 247,800
- Ofa mwezi mmoja
- Malipo kwa siku sh 5,990
- Malipo kwa mwezi sh 179,700
- Malipo ni muda wa miaka miwili
- Warranty ni miaka minne
♡MYSOL SOLA BORA TANZANIA 🇹🇿.
