Maelezo
Tunatoa huduma za upimaji wa madini (Gold and mineral survey). Tunakusaidia kuchimba kwa uhakika, sio kubahatisha. Tunapima madini ya dhahabu na mengineyo kwa teknolojia ya kisasa ili ujue thamani halisi ya mawe yako kabla ya kusaga.
Huduma zetu zinajumuisha;
- Kupima mawe kabla ya kusaga (Ore testing)
- Geological survey & mapping
- Kuchukua na kuchambua sample
- Kujua grade ya Dhahabu (Au) kwa uhakika
- Ushauri wa sehemu bora ya uchimbaji
- Ripoti za kitaalamu na ushauri
Tunafanya kazi popote Tanzania.
EPUKA HASARA, ONGEZA FAIDA YAKO LEO!
