Saikolojia ya Wateja na Bei

Sambaza:

Sh 25,000

Maelezo

Kitabu hiki kinaeleza kwa ufupi na kwa uhalisia jinsi wateja wanavyofanya maamuzi ya kununua na namna bei inavyoathiri mtazamo wao. Kinaonesha kuwa mafanikio ya biashara hayategemei bidhaa pekee, bali uwezo wa kuelewa akili ya mteja na kupanga bei kwa mkakati.Ni mwongozo wa vitendo kwa yeyote anayetaka kuuza zaidi, kujenga thamani ya brand, na kufanya maamuzi sahihi ya biashara.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma