Mini Incubators

Sambaza:

Maelezo

Mini Incubator ni mashine ya kisasa inayokuwezesha kuatamia na kuangua mayai kwa kiwango cha juu cha mafanikio bila usumbufu wa kugeuza mayai mwenyewe.

Imeundwa kwa teknolojia ya kisasa inayodhibiti joto na unyevu kiotomatiki, hivyo kuhakikisha mazingira bora ya ukuaji wa vifaranga ndani ya kipindi chote cha uanguaji.

Faida Kuu za Mini Incubator

  • Inaweza kutumia umeme wa kawaida (AC) na Solar System (DC)
  • Mfumo wa Automatic Egg Turning unaogeuza mayai wenyewe
  • Udhibiti wa joto na unyevu kiotomatiki kwa matokeo bora
  • Matokeo ya uanguaji yanaweza kufikia hadi 98% kwa matumizi sahihi
  • Matumizi madogo sana ya umeme
  • Huhifadhi joto kwa muda mrefu hata umeme unapokatika
  • Muundo imara wa plastiki unaodumu na rahisi kusafisha
  • Inafaa kwa wafugaji wadogo, wa kati na wakubwa
  • Rahisi kutumia hata kwa anayeanza ufugaji wa kuku

Inapatikana Kwa uwezo tofauti

Model One

  • Mayai 50 – Tsh 200,000/=
  • Mayai 64 – Tsh 300,000/=
  • Mayai 128 – Tsh 350,000/=

New Model – Pale Blue

  • Mayai 30 – Tsh 180,000/=
  • Mayai 50 – Tsh 250,000/=
  • Mayai 64 – Tsh 350,000/=
  • Mayai 128 – Tsh 400,000/= (ya kwenye picha 👆)

Kwa nini uchague kutumia Incubators ?

Kwa kutumia Incubators, unapata uwezo wa kuzalisha vifaranga wengi kwa muda mfupi, kupunguza hasara zinazotokana na kuatamia kwa njia za kawaida, na kuongeza faida katika biashara yako ya ufugaji. Ni chaguo bora kwa mfugaji anayehitaji teknolojia ya kisasa, ufanisi wa juu na matokeo ya kuaminika.

Anza safari ya ufugaji wa kisasa leo kwa Mini Incubators – Teknolojia inayobadilisha ufugaji kuwa biashara yenye faida zaidi.

Mchongo wa biashara

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma