Baiskeli ya Mazoezi

Sambaza:

Sh 250,000

Maelezo

Fanya mazoezi ukiwa nyumbani kwa kutumia baiskeli hii imara ya mazoezi iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu.

Inakusaidia kufanya mazoezi ya mwili mzima kwa kuimarisha na kukaza misuli ya miguu, mapaja, mikono na sehemu mbalimbali za mwili.

Sifa zake

  • Imara na yenye kudumu – imeundwa kwa fremu imara kwa matumizi ya muda mrefu.
  • Inafuatilia mazoezi yako – inaonyesha taarifa za mazoezi kama muda wa mazoezi, kasi, umbali na hesabu ya kalori unazotumia (kulingana na matumizi).
  • Husaidia kuchoma mafuta na kuboresha afya ya moyo pamoja na stamina.
  • Kiti kinachoweza kurekebishwa kwa urefu unaokufaa ili kufanya mazoezi kwa raha.
  • Pedal zenye mshiko mzuri zinazosaidia kufanya mazoezi kwa usalama.

Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au gym ndogo.

Boresha afya yako na jenga mwili wako 🚴‍♂️🔥

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma