Online applications

Sambaza:

Maelezo

Karibu Mkingie Online Services kwa usaidizi wa huduma zote za maombi ya mtandaoni (Online applications).

Tunatoa huduma zifuatazo kwa ustadi na uaminifu mkubwa;

  1. Maombi na uhakiki wa cheti Cha kuzaliwa/kifo
  2. Maombi ya TIN number
  3. Maombi ya leseni ya biashara
  4. Maombi ya usajili wa kampuni na jina la biashara (Brela)
  5. Maombi ya loss report
  6. Maombi ya usajili wa vikundi vya ujasiriamali
  7. Maombi ya vyuo na mikopo HESLB
  8. Maombi ya AVN number
  9. Maombi ya passport ya kusafiria.
  10. Kufungua akaunti na Maombi ya ajira kwenye ajiraportal
  11. Kufungua akaunti ya Zanajira (Zanzibar)
  12. Kufungua akaunti na maombi kwenye mfumo wa TAESA
  13. Na huduma zingine za mtandaoni.

Karibu ujiunge na channel yetu ya matangazo ya Ajira

VIUNGO MUHIMU

Bidhaa
Tafuta
Huduma