Maelezo
FANYA MAZOEZI UKIWA NYUMBANI KWA URAHISI! 🏃♂️🔥
Unahitaji kupunguza uzito, kujenga stamina au kuimarisha afya yako? Treadmill yetu ni chaguo sahihi kabisa kwako!
Sifa zake
- Inabeba 120kg
- Ina 2.0 HP
- USB Input
- Ina MP3 input
- Manual incline 3% 5%
- Inaonesha Time, speed, distance, calories, heart rate
- Running area 1230 x 420mm
Faida zake
- Inafaa kwa mazoezi ya nyumbani
- Kutembea na kukimbia kwa urahisi
- Inasaidia kupunguza mafuta mwilini
- Inakufanya ubaki fit muda wote
- Imara, ya kisasa na rahisi kutumia
Treadmill ya 120kg isiyo na massage ni 1,450,000 na yenye massage ni 1,550,000.
