Maelezo
Karibu,
Umechukua hatua muhimu ya kuwekeza katika maarifa na ujuzi ambao unaweza kubadilisha namna unavyofanya kazi, kukuza biashara yako, na kukuwezesha kufikia malengo yako.
Katika kozi hii utapata mbinu za kisasa, mifano ya vitendo, na maarifa yanayoweza kutekelezwa mara moja. Lengo ni kukupa ujuzi unaoweza kuleta matokeo halisi, si nadharia pekee.
Lakini Kuandaa maudhui haya kunahitaji bundle na rasilimali mbalimbali. Changia kiasi tajwa kwa kila somo kupitia M-Pesa 0744 727 581 (Habel John), kisha Omba Token kwa uthibitisho wa muamala na utapokea Token ya ku – Tazama Somo.
LESSON 1: INTRODUCTION

Token: 1015 Tazama Somo
LESSON 2: E-COMMERCE & ONLINE SELLING
Coming soon….
Baada ya kozi hii utaweza:
- Kuelewa namna teknolojia inavyoboresha biashara.
- Kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia njia za kidijitali.
- Kuchagua zana sahihi za kuendesha biashara kwa ufanisi.
- Kuboresha maamuzi kwa kutumia data na teknolojia.
- Kuongeza mauzo na ukuaji wa biashara kwa kutumia mbinu za kisasa.
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA WHATSAPP KUPATA UPDATES MBALIMBALI ➡️ JIUNGE
Usifanye biashara kimazoea
Tumia teknolojia kuongeza matokeo.
