Chee!

Mixed Herbs Powder

Original price was: Sh 65,000.Current price is: Sh 64,000.

Maelezo

MIXED HERBS POWDER
Ni dawa lishe ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo;-

  • Itakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi
    Itakuondolea makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)
  • Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii itakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kama unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k….
  • Hakuna gharama ya usafirishaji (free delivery)

Anwani

Mkoa

Dar es Salaam: Free delivery mpaka mikoani.

Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti