Maelezo
SITUKA M1 ni moja kati ya mbegu bora kutoka kampuni ya Rieta Agrociences zilizoandaliwa kwa ajili ya mazingira ya kitanzania.
Mbegu hii inawahi kukomaa na inastawi maeneo yenye mvua chache kama mikoa ya Dodoma, Singida, Geita n.k
SITUKA M1 inapatikana kwa ujazo wa kilo 2.
MAHOJIANO KWA VIDEO




