Airtel 5G Router

Sambaza:

Sh 100,000

Aina

Maelezo

Utambulisho

Airtel 5G Router ni kifaa chenye teknolojia ya kisasa kutoka Airtel kinachokupa kasi ya intaneti ya 5G kwa urahisi popote ulipo. Kinafaa kwa matumizi ya ofisini au kazini,  na familia nyumbani.

Zipo Indoor Unit (IDU) ambazo zinakaa ndani na Outdoor Unit (ODU) ambazo zinakuja nakifaa cha kufunga nje ili kuongeza uwezo wa kunasa mawimbi ya mtandao na Wi-Fi kufika mbali zaidi 

Unaweza kusogeza router mahali popote ili kupata ishara nzuri ya 5G.

Vipengele muhimu

  • Mtandao wa 5G: Inakupa intaneti ya kasi mpaka 5G na kusambaza WiFi mpaka mita 100.
  • Kuunga vifaa vingi: IDU ina uwezo wa kuunga vifaa mpaka 32, na ODU  vifaa mpaka 64 sambamba na WiFi,kwa wakati mmoja.
  • Rahisi kutumia: Plug-and-play – unachukua router, unaunganisha, na kuanza ku-share WiFi kwa simu, tablet, laptop bila kuwa na mbinu ngumu.
  • Sambamba na 4G/3G: Kama 5G haikupatikana, router hii pia hukupa uwezo wa kutumia 4G na 3G, hivyo haina tatizo kwenye maeneo yenye mtandao mdogo.
  • Mipangilio: Unaweza ku-manage router yako kupitia simu yako kama vile kuseti jina la Wi-Fi, kubadili nenosiri, kuruhusu au kutoruhusu matumizi kwa watu (vifaa vingine) nakadhalika.

Gharama na vifurushi

Kwa mara ya kwanza utafungiwa pamoja na kulipiwa kifurushi cha mwezi mzima (unlimited internet) kwa 100,000/=

Vifurushi vyake ni matumizi bila kikomo kwa mwezi;

  • 70,000/Mwezi – 25Mbps
  • 100,000/Mwezi – 40Mbps

Chapakazi Bundles – Members benefit 10GB, Dakika 1000 & SMS/Mwezi 

  • 150,000/Mwezi – 20Mbps – 3 members
  • 200,000/Mwezi – 30Mbps – 5 members
  • 300,000/Mwezi – 30Mbps – 9 members
  • 400,000/Mwezi – 50Mbps – 15 members

Maelekezo kwa video

Silvano, Services, Dodoma, Dodoma, -, Tanzania
Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Akaunti