A9 mini Wi-Fi camera

Sh 20,000

Maelezo

A9 Mini WiFi Camera – ni kamera ndogo  yenye uwezo mkubwa wa kurekodi video kwa ubora wa juu wa Full HD 1080P. Inakuja na Night Vision, muunganisho wa WiFi, na Motion Detection kukupa ulinzi wa kweli, saa 24 kwa siku.

Inakuwezesha kuangalia mubashara (live stream) kupitia simu yako popote ulipo na inarekodi kiotomatiki pindi inapotambua mwendo. Inafaa kwa usalama na ufuatiliaji wa nyumbani, ofisini, magari, madukani au kwa mlezi wa mtoto.

Ufungaji wake ni rahisi – unachohitaji ni simu yako tu ikiwa upo mazingira ya Camera au ikiwa imeunganishwa na Wi-Fi kuona matukio ukiwa popote pale.

 

VIPENGELE MUHIMU

  • Upana wa mtazamo (Vision angle): Nyuzi 150 – inachukua eneo pana zaidi
  • Umbali wa Utambuzi wa Mwendo (Motion Detection): Hadi mita 6 moja kwa moja
  • Sauti: Kipaza sauti kilichojengewa ndani (inafikia 7–10m) na spika ya 3W kwa sauti wazi
  • Hifadhi (Storage): Inasehemu ya kadi ya Micro SD kwa ajili ya kutunza kumbukumbu
  • Betri: 400mAh – hufanya kazi hadi saa 1 bila kuchaji
  • Nguvu ya Kuchaji: DC 5V
  • Kasi ya Video: 25fps
  • Matumizi: Ndani au nje ya nyumba (Indoor/Outdoor)
  • Nyenzo: Plastiki ya kudumu (ABS)
  • Ukubwa: 4.5*4*2 cm

 

MATUMIZI KWA VIDEO

Quality, Electronics, Kigogo-kariakoo, Dar es Salaam, -6.8174000, 39.2448000, Tanzania
Hakuna!
Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti