Maelezo
Hii ni kozi ambayo utajifunza kufanya Graphic design za aina mbalimbali kwa kutumia Adobe Illustrator. Kozi hii inapatikana kwa njia ya online na ina lessons 25, unaweza kujifunza kwa kutumia kifaa chochote chenye internet access kama vile smartphone, computer au smart TV.
Unachohitaji kwa ajili ya mafunzo ni PC au computer, Adobe Illustrator program na mahali tulivu kwa ajili ya kufanya designing.
Bofya kitufe cha Jiunge kwa maelezo zaidi.
