Alfa Mirage GK 300

Sambaza:

Sh 4,800,000

Biashara:  Benny Quality


Maelezo

Hiki ni kifaa cha kupimia purity ya dhahabu  (kiwango cha dhahabu halisi  kilichopo kwenye kipande cha dhahabu au kitu kilichochanganywa na dhahabu. 

Purity ya dhahabu hutathminiwa kwa kutumia kipimo cha Karat au asilimia ya uzito wa dhahabu halisi kwenye kipande hicho.

Alfa Mirage ni kifaa cha kisasa na sahihi kinachotumia teknolojia ya mionzi ya X ili kupima purity ya dhahabu kwa kupima kemikali zilizopo kwenye dhahabu. Kifaa hiki kinahitaji kugusa kipande kidogo cha dhahabu na kinauwezo wa kupima hadi gram 300 kwa mara moja.

Kifaa hiki ni maarufu kwa matumizi katika sekta ya biashara ya dhahabu na madini kwa ujumla kwani kinatoa matokeo kwa haraka na usahihi wa hali ya juu.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma