Maelezo
Badili chumba chako kuwa cha kisasa na mwanga wa kuvutia kwa kuweka taa hii ya night light pembeni ya kitanda chako. Unaweza pia ukaitumia kwa kusomea ikiwa mezani.
Taa hii ina sifa zifuatazo:
- Rechargeable: inachajiwa na inadumu na chaji muda mrefu.
- Unaweza kupunguza, kuongeza au kubadili mwanga (3 light options)
- Unaweza kuongeza na kupunguza urefu kama inavyoonekana kwenye picha.
- Inafaa kwa mapambo na kwa kusomea
- Rahisi kubeba na kutumia
