Brinax Water Dispenser

Sh 375,000

Maelezo

Brinax Water Dispenser ni kifaa cha kisasa kilichotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ili kukupa maji safi na yenye joto sahihi muda wote. Ikiwa na mfumo wa Hot & Cold, na heater ya kupasha maji moto pamoja na kifaa cha kuandalia vitu kama chai na kahawa, dispenser hii inakidhi mahitaji yako kwa pamoja.

Brinax imetengenezwa kwa kuzingatia uimara, usalama, na matumizi madogo ya umeme ili kuhakikisha unapata huduma bora bila gharama kubwa.

Vipengele Muhimu

  • Hot & Cold System: Hutoa maji ya moto kwa ajili ya kahawa, chai au uji, na maji baridi kwa ajili ya kunywa papo hapo – muda wowote, bila kusubiri.
  • Compressor yenye nguvu: Inahakikisha maji yanapoa haraka na kubaki kwenye kiwango sahihi cha baridi hata kwa matumizi ya watu wengi.
  • Low Power Consumption: Imeundwa kutumia umeme kidogo huku ikifanya kazi kwa ufanisi, hivyo kukusaidia kupunguza matumizi ya nishati.
  • Safety Child Lock: Inazuia watoto kuwasha maji ya moto bila tahadhari, na kuongeza usalama nyumbani.
  • Muundo Imara na wa Kisasa: Imetengenezwa kwa mwonekano wa kisasa unaoendana na maeneno mbalimbali — ofisini au nyumbani.
  • Rahisi Kusafisha na Kutunza: Ina sehemu zinazofunguka kirahisi kwa ajili ya usafi na matengenezo madogo ya kawaida.
  • Ni rahisi kutumia na kubadilisha dumu la maji bila nguvu nyingi.

Faida Kwa Mtumiaji wa Brinax Water Dispenser

  • Kupata maji ya moto na baridi muda wowote
  • Kuboresha afya kwa kunywa maji safi zaidi
  • Ufumbuzi bora kwa ofisi zenye idadi kubwa ya watumiaji
  • Inaokoa muda kwa kutohitaji kuchemsha maji kila wakati
  • Inaongeza ufanisi na usafi kwenye maeneo ya kutolea huduma

Kwa Nani Brinax Water Dispenser Inafaa?

  • Nyumba
  • Ofisi
  • Hospitali na kliniki
  • Shule
  • Hoteli na migahawa
  • Duka au reception area

Maelekezo kwa video

Bidhaa, Electtronics, Magila Street, Kariakoo, Dar es Salaam, -, Tanzania
Hakuna!
Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti