Cadelon MIG-300S Welding Machine

Sh 240,000

Maelezo

Cadelon MIG300S Welding Machine ni mashine ya kisasa ya kuchomelea inayotumia teknolojia ya inverter kwa ufanisi zaidi. Inafaa kwa kuchomelea mabati, fremu za milango na madirisha, vyuma vyepesi, aluminium na bodi za magari.

Imeundwa na kampuni ya TeamWelder kwa ajili ya ufundi wa viwanda, karakana, na miradi ya ujenzi wanaohitaji mashine yenye nguvu, ufanisi, na kudumu.

Kwa uwezo wa MIG/MAG/MMA/Flux/TIG welding, mashine hii inakupa uhuru wa kutumia waya wa coil (0.6 mm – 1 mm) na kufanya kazi kwenye chuma cha aina mbalimbali. Wire feeder ya ndani inahakikisha kulisha waya kwa usawa, huku controllers za voltage na wire speed zikikupa udhibiti kamili wa ubora wa weld zako.

VIPENGELE MUHIMU vya Cadelon MIG300S Welding Machine

  • Nguvu ya motor: Inatoa nguvu thabiti kwa kazi nzito za kulehemu.
  • Teknolojia ya IGBT inverter: Hutoa ufanisi mkubwa na inapunguza matumizi ya umeme.
  • MIG/MAG/MMA/Flux/TIG welding modes: Inafaa kwa kuchomelea chuma tofauti kwa kutumia waya wa coil.
  • Wire feeder system: Ina feeder ya ndani yenye magurudumu mawili kwa usawa wa kulisha waya.
  • Voltage & wire speed control: Unaweza kudhibiti nguvu na kasi ya waya kulingana na aina ya kazi.
  • Ulinzi wa overload: Inajizima kiusalama inapozidiwa ili kulinda mashine na mtumiaji.
  • Portability: Ina magurudumu na muundo imara (IP21 dustproof case) kwa matumizi ya ndani na nje ya kiwanda.
  • Compatibility: Inaweza kuendeshwa hata kwa kutumia generator ya 9 KVA.

MAELEKEZO KWA VIDEO


Aness, Tools, Ubungo, Dar es Salaam, -, Tanzania
Hakuna!
Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti