Smart Watch 4 Pro

Sh 60,000

Maelezo

D25 Watch 4 Pro ni Smart Watch saa ya kisasa ambayo inavaliwa mkononi kama saa nyingine na inaweza kutumika kama simu yako ya mkononi.

Hii ni Smart Watch iliyotengenezwa kwa kuzingatia mahitaji ya muonekano, utendaji, na teknolojia katika kifaa kimoja. Package yake inajumuisha:

  • Smartwatch yenye skrini ya rangi, touch screen, na muundo wa kuvutia.
  • Mikanda mitatu ya ubora wa juu (kwa kubadilisha kulingana na mtindo au tukio)

VIPENGELE MUHIMU vya D25 Watch 4 Pro

  • Simu Moja kwa Moja: Piga na pokea simu moja kwa moja kupitia saa bila kutumia simu yako
  • Arifa za Meseji: Inapokea notification kutoka WhatsApp, SMS, na mitandao mingine ya kijamii
  • Afya Yako Kwanza: Inapima presha ya damu na mapigo ya moyo kwa ufuatiliaji wa afya yako kila siku
  • Remote Camera: Chukua picha kwa mbali kwa kutumia saa yako kama remote ya kamera ya simu
  • Kalenda na Saa: Ratibu siku zako kwa kalenda ya ndani na saa ya kisasa
  • Hesabu ya Kalori: Fuatilia kalori unazotumia kila siku kwa ajili ya malengo ya kiafya
  • Michezo Ndani ya Saa: Furahia michezo ya kujiburudisha moja kwa moja ndani ya saa
  • Water Resistant: Hivyo haiingii maji hata ukinyeshewa na mvua.

MAELEKEZO KWA VIDEO

Bongo, Smartwatch, Goba - Kwa Awadhi/CRDB, Dar es Salaam, -, Tanzania
Hakuna!
Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti