Edon ED-2603 Rotary Hammer Drill

Sh 135,000

Maelezo

Edon ED-2603 Rotary Hammer Drill ni mashine ya kuchimba (Drilling machine) ya kisasa ambayo inachimba mashimo kwenye zege, chuma, mbao na mawe kwa urahisi.

Kwa kazi za kubomoa ukuta wa zege au kuchimba mashimo makubwa, ED-2603 inakupa matokeo ya haraka bila kuchoka. Speed control na angle adjustment zinakupa uhuru wa kudhibiti mashine kulingana na mahitaji yako.

Nzuri sana kwa mafundi wanaohitaji nguvu, kasi, na ubora wa hali ya juu katika kazi zao.

VIPENGELE MUHIMU vya Edon ED-2603 Rotary Hammer Drill

  • Nguvu ya motor: 900W – inatoa nguvu ya kutosha kwa kazi nzito
  • No-load speed: 1100 rpm – kasi ya juu kwa kuchimba haraka na kwa usahihi
  • Voltage: 220–240V, Frequency: 50/60Hz – inafaa kwa matumizi ya nyumbani na ya kibiashara
  • Max drill diameter:
    • Zege: 30 mm
    • Chuma: 13 mm
    • Mbao: 30 mm
    • Masonry: 68 mm
  • Speed control & angle adjustment – unadhibiti kulingana na aina ya kazi
  • Dual function: drilling & hammering – inachimba na kubomoa kwa ufanisi
  • Durable design – imetengenezwa kwa kudumu na kustahimili kazi ngumu

Edon ED-2603 Rotary Hammer Drill ni imara na ya kudumu, inayohitajika na kila fundi wa ujenzi, umeme, au useremala. Ni chaguo sahihi kwa wale wanaotaka kifaa kimoja kinachofanya kazi nyingi kwa ufanisi.

MAELEKEZO YA MASHINE YA KUCHIMBA KWA VIDEO

 

Aness, Tools, Ubungo, Dar es Salaam, -, Tanzania
Hakuna!
Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti