Maelezo
Epson L3200 Series ni familia ya printer za EcoTank zenye uwezo wa kuchapisha, kuskani, na kunakili kwa gharama nafuu—ikiwemo Epson L3210 na L3250.
Zinatumia mfumo wa tanki la wino badala ya cartridge, zikiwa bora kwa matumizi ya nyumbani, kiofisi na biashara. Ukinunua unapewa na wino wake chupa 5 za kuanza nazo.
Zote zina – Print, scan, copy na photo printing. Ila Epson L3250 ni printer ya kisasa yenye Wi-Fi (wireless printing) na print resolution ya juu, wakati L3210 ni chaguo la bei nafuu bila Wi-Fi lakini yenye ubora mzuri wa uchapishaji.
VIPENGELE MUHIMU
Kasi ya uchapishaji: Takriban 10 ppm (black) na 5 ppm (color)
Uwezo wa kuchapisha: Hadi 4500 kurasa nyeusi na 7500 kurasa za rangi kwa refill moja
Ukubwa wa karatasi: A4, A5, A6, B5, B6, Legal, Envelopes
AINA NA BEI
- Epson L3210 – 400,000/=
- Epson L3250 – 430,000/=





