Maelezo
HB-502B Oven Cooker ni jiko la kisasa lenye mchanganyiko wa plate 3 gas na 1 umeme, likikupa uhuru wa kupika kwa njia tofauti bila kizuizi pamoja na Oven ya umeme kwa chini kwa matumizi ya kuoka, kupasha au kuchoma.
Jiko hili limetengenezwa na kampuni ya Homebase, brand inayojulikana kwa kutengeneza vifaa vya jikoni vya kisasa na vinavyodumu.
VIPENGELE MUHIMU vya HB-502B Oven Cooker
- Plate 3 Gas + 1 Umeme – uhuru wa kupika kwa gesi au umeme kulingana na mahitaji yako
- Oven ya umeme yenye heater juu na chini – matokeo bora ya kuoka na kuchoma kwa usawa
- Pulse Ignition (Washa bila kiberiti) – rahisi na salama kuwasha moto
- Stainless Steel Top Panel – uso wa juu unaong’aa, imara na rahisi kusafisha
- Oven yenye tray & grill – inakupa chaguo la kuoka, kuchoma au kupasha chakula
- Cast Iron Pan Support – imara, hudumu na hushikilia sufuria zako kwa usalama
FAIDA KWA MTUMIAJI
Faida za hii HB-502B Oven Cooker ni pamoja na.
- Urahisi wa kupika: Unaweza kutumia gesi au umeme kulingana na upatikanaji wa nishati.
- Matokeo bora ya mapishi: Heater juu na chini hufanya chakula kiwe na rangi na ladha ya kipekee.
- Usalama na ufanisi: Hakuna kiberiti kinachohitajika, na mashine hujizima ikikamilisha mapishi.
- Thamani ya pesa: Ni kifaa kimoja kinachokupa huduma nyingi jikoni bila gharama kubwa.
MAELEZO YA MUUZAJI
- Free delivery dsm &Mbeya &Songea. Mikoa yote tunatuma Malipo baada ya mzigo kufika
- DSM; Tupo kariakoo mtaa wa likoma na magila
- MBEYA; Tupo KABWE
- SONGEA MJINI TUPO MTAA WA MSIKITI WA WILAYA.



