Maelezo
Pata urahisi wa kupata maji ya moto, baridi au ya kawaida kwa kifaa kimoja cha kisasa. Homebase Water Dispenser imeundwa kwa muonekano wa kuvutia na matumizi rahisi nyumbani, ofisini au biashara.
- Dumu la maji hukaa chini hivyo ni rahisi kuweka na kubadilisha
- Mifereji 3 ya maji: Moto, Baridi na Kawaida
- Muundo wa kisasa na unaookoa nafasi
- Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini
Delivery BURE ndani ya Dar es Salaam
