Maelezo
Hii ni microscope kwa ajili ya matengenezo ya Simu
Sifa zake
- Zoom 7X – 45X ambayo inakuwezesha Kuona hadi nyaya ndogo za IC & jumper kwa HD
- Taa LED mbili; Mwanga wa LED + Zoom inaweza kukusaidia Kutengeneza charging port, vinyweleo vya mic bila kukosea
- Stand imara
Inafaa kwa
Kubadilisha IC, kuruka njia, kuangalia shoti n.k
