Mafunzo ya ufundi simu

Sambaza:

Sh 450,000

Aina

Maelezo

Mfumo wa Mafunzo

Tunafundisha kwa VITENDO ZAIDI kuliko nadharia. Kuanzia siku ya kwanza tu unaanza kugusa simu na vifaa halisi. Utajifunza kwa mikono yako mwenyewe.

Utajifunza Nini?

  • Hardware: Kujua kila kifaa ndani ya simu, kubadilisha vioo, betri, kutumia vifaa vya kisasa kama microscope na vingine vingi.
  • Software: Kurusha software (flashing), kuondoa password, na kutatua matatizo ya programu.
  • Cheti: Ukimaliza mafunzo yako, utapata cheti cha uthibitisho kutoka EMOBILE FIX TANZANIA.

Maelezo mengine

  • Mahali: Ofisi zetu ziko Upanga, Dar es Salaam
  • Muda wa Mafunzo: Ni Miezi 3 kamili ya masomo.
  • Ada ya Kozi: Ada ni TSh 450,000 kwa kozi yote.

Lengo letu ni kuhakikisha unakuwa fundi anayejitegemea na kuingiza kipato kikubwa. Hii ni fursa ya kubadilisha maisha!

Karibu sana Mkuu, tuko tayari kukuongoza katika safari hii ya mafanikio!

 

Pia tuna PDF ambazo zinakupa mwongozo kamili wa kujifunza popote ulipo na zinapatikana kwa namna zifuatazo:-

🔰 Starter Pack – TSh 25,000

Inafaa kwa: Mtu ambaye hajui chochote kuhusu ufundi wa simu.

Yaliyomo:

  • 📘 Mwongozo wa Ufundi Simu (Hatua kwa Hatua)
  • 📘 Hardware Fundamentals
  • 📘 Mwongozo wa Multimeter
  • 🎁 Bonus: Checklist ya Tools za Kuanzia

Ukianza na Starter Pack, utaanza kujifunza hatua kwa hatua hata kama hujawahi kushika screwdriver.

⭐ EMOBILE PRO PACK – TSh 50,000

Kwa fundi anayetaka kuongeza ujuzi na kufanya kazi za kila siku.

  • ✅ Android Software Repair
  • ✅ iPhone Repair Guide
  • ✅ Advanced Troubleshooting
  • ✅ Boot Modes & ISP Pinout
  • ✅ WhatsApp Support

Hii ni kwa wanaotaka kuongeza uwezo wao na kutatua matatizo mengi ya simu kwa ufanisi zaidi.

👑 EMOBILE MASTER PACK – TSh 80,000

Kozi kamili ya ufundi wa simu.

  • 📘 Kitabu Kizima cha Emobile Fix Tanzania
  • 📘 Schematic Diagram & Boardview Master Guide
  • 📘 IC Repair & Reballing Master Guide
  • 📘 Master Technician Guide
  • 🎁 Bonus zote zimejumuishwa
  • 🔄 Updates za miezi 6

Hii ndiyo Pack yetu kamili kwa mtu anayetaka kujifunza kwa kiwango cha juu zaidi.

Tunajua kila shilingi unayolipa umeitafuta kwa jasho. Ndiyo maana tumeandaa mafunzo yenye thamani halisi.

Hautanunua karatasi tupu. Utapata PDF zenye maelezo ya kina, picha za kueleweka na mwongozo wa hatua kwa hatua utakaoendelea kuutumia kwenye simu yako muda wowote, hata bila intaneti baada ya kuzipakua.

Baada ya kununua, hutabaki peke yako. Utapata msaada kupitia WhatsApp endapo utahitaji ufafanuzi kwenye masomo.

Mamia ya wanafunzi tayari wameanza safari yao ya ufundi wa simu kupitia PDF hizi. Sasa ni zamu yako.

Chagua Pack inayokufaa na uanze kujifunza leo kwa kugusa linki ➡️ VITABU

Uwekezaji huu wa elimu unaweza kukupa ujuzi utakaoendelea kukunufaisha kwa miaka mingi ijayo.

VIUNGO MUHIMU

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma