Maelezo
Mashine hii inafaa kwa biashara ya juisi ya miwa kwenye maeneo mbalimbali kama hotel, restaurant, juice center na biashara za mitaani.
Sifa za mashine
- Uwezo mkubwa wa kukamua juisi (hadi lita 150 kwa lisaa)
- Rahisi kutumia
- Imara na ya kudumu
- Matumizi madogo ya umeme
- Hutoa juisi safi na yenye ubora
Inafaa kwa
- Juice business
- Hotel na restaurant
- Supermarket
- Biashara za mitaani
- Matumizi ya nyumbani
Faida za kutumia
- Huongeza kasi ya uzalishaji
- Huokoa muda wa kazi
- Rahisi kusafisha
- Huongeza mapato kwenye biashara
Tunatuma mikoa yote Tanzania.
