Maelezo
HORUS HR-100Y ni mashine ya kusaga/kuandaa siagi ya karanga na vitu kama almonds, korosho nakadhalika.
Mashine hii ni ya kisasa na inakupa uzalishaji wa haraka na wenye ubora wa hali ya juu. Ni rahisi kutumia, salama, na imetengenezwa kwa vifaa imara vinavyodumu kwa muda mrefu.
Ikiwa wewe ni mfanyabiashara au unataka kuanzisha biashara ya chakula, mashine hii ni suluhisho bora kwa ajili ya kutengeneza siagi ya karanga safi na laini kwa wateja wako. Inafaa kwa viwanda vidogo, wafanyabiashara wa kati, na hata kwa matumizi ya nyumbani kwa uzalishaji mkubwa.
VIPENGELE MUHIMU
- Uwezo wa kazi (Capacity): kilo 15 kwa lisaa.
- Voltage: 220V-240V
- Power: 1100W
- Diameter of granding wheel: 100mm
- Kasi (Rotate speed): 2850r/min
- Ukubwa (Size): 27*27*64cm
- Uzito (Weight): 23Kg.
MATUMIZI KWA VIDEO


