Chee!

Mbolea Asilia – Supergro

Original price was: Sh 180,000.Current price is: Sh 170,000.

Maelezo

Super Gro ni kirutubisho bora cha mimea kisicho na kemikali kilichotengenezwa kutokana na magome ya miti na kinyesi cha ndege. Mbolea hii ya asili imeidhinishwa na wakulima duniani kote kwa uwezo wake wa kuongeza mavuno na ubora wa mazao bila kuharibu udongo.

Kwa kutumia Super Gro, unapata:

Kuongeza mavuno maradufu (utavuna mara 2–3 zaidi ya kawaida).

Mazao yenye ubora wa hali ya juu (ukubwa mzuri, uzito, ladha na rangi bora).

Udongo wenye rutuba na unyevu wa kutosha.

Ukuaji wa haraka wa mimea katika msimu wowote.

Kupunguza gharama za pembejeo, kwani mbolea hii pekee inatosha.

Jinsi ya Kutumia

Changanya 1cc ya mbolea kwa kila lita 1 ya maji.

Mfano: kama pampu yako ina ujazo wa lita 16, changanya na mbolea 16cc; kwa lita 20, changanya na 20cc.

Ratiba ya Matumizi

Kiangazi: Tumia kila baada ya siku 7.

Masika: Tumia kila baada ya siku 14.

Inafaa kwa misimu yote ya kilimo.

Faida Kuu
✅ Inarudisha rutuba asilia iliyopotea kutokana na mbolea za chumvichumvi.
✅ Inatosha kwa mazao yote – bustani, shamba au kilimo cha kibiashara.

Bei na Ufungashaji

Lita 1: Tsh 60,000

Lita 5 (Offer maalum): Tsh 170,000

Anwani

Mkoa

Dar es salaam: Tunasafirisha mikoa yote

Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti