Maelezo
Huu ni mambo wa kisasa wa Reverse Osmosis (RO), ni kiboko ya kuondoa chumvi na uchafu wote kwenye maji ya kisima au ya bomba.
Inabadilisha maji yako kuwa matamu, masafi na salama kwa kiwango cha maji ya chupa (Premium Quality).
Spares na filters zote zinapatikana (full supply).
- Free installations
- Free delivery kwa Dodoma na Zanzibar.
