Mtambo wa sola (Mysol)

Sambaza:

Sh 84,630

Biashara:  Mysol Tanzania

Maelezo

Mysol ni kampuni ya sola ya Ufaransa inayotoa mitambo Bora ya sola kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na ya biashara.

SOLA BILA TV 

W80 BILA TV 

Unapata Sola, Betri, Taa na Usb chaja

  • Kianzio ni sh 84,630 
  • Ofa mwezi mmoja
  • Malipo kwa siku sh 2,393
  • Malipo kwa mwezi sh 71,800 
  • Malipo ni miaka miwili
  • Warranty ni miaka minne

W120 BILA TV 

Unapata Sola, Betri, Taa na Usb chaja

  • Kianzio ni sh 99,400 
  • Ofa mwezi mmoja
  • Malipo kwa siku sh 2,720
  • Malipo kwa mwezi sh 81,600 
  • Malipo ni miaka miwili 
  • Warranty ni miaka minne

W200 BILA TV 

Unapata Sola, Betri, Taa na Usb chaja

  • Kianzio ni sh 158,900 
  • Ofa mwezi mmoja
  • Malipo kwa siku sh 4,190 
  • Malipo kwa mwezi sh 125,700 
  • Malipo ni miaka miwili
  • Warranty ni miaka minne

SOLA IKIWA NA TV

Unapata Sola, Betri, TV, Taa, Redio, Tochi na Usb chaja 

W55 FULL PACKAGE NA TV24 

  • Kianzio ni sh 111,600 
  • Ofa mwezi mmoja
  • Malipo kwa siku sh 2,570 
  • Malipo kwa mwezi sh 77,250 
  • Malipo ni miaka miwili
  • Warranty ni miaka minne

W120 FULL PACKAGE NA TV32

  • Kianzio ni sh 156,450 
  • Ofa mwezi mmoja
  • Malipo kwa siku sh 4,120 
  • Malipo kwa mwezi sh 123,600 
  • Malipo ni miaka miwili
  • Warranty ni miaka minne

W200 FULL PACKAGE NA TV43

  • Kianzio ni sh 247,800 
  • Ofa mwezi mmoja
  • Malipo kwa siku sh 5,990 
  • Malipo kwa mwezi sh 179,700 
  • Malipo ni muda wa miaka miwili
  • Warranty ni miaka minne 

♡MYSOL SOLA BORA TANZANIA 🇹🇿.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma