Maelezo
Furahia mbio za kasi za kusisimua na magari ya kifahari kwenye mchezo maarufu wa Need for Speed kwa PlayStation 4. Ingia kwenye ulimwengu wa street racing, boresha na customize gari lako, shindana na madereva wengine, na jenga sifa yako kama bingwa wa mbio za mitaani.
Mchezo huu una picha zenye ubora wa hali ya juu, mazingira ya wazi ya kuchunguza, na aina mbalimbali za mashindano yanayokupa burudani ya muda mrefu.
- Platform: PS4
- Genre: Racing / Driving
- Single Player & Online Features
- Magari mengi ya kuchagua na kuyaboresha
- Graphics kali na gameplay ya kusisimua
