Nikon D5100

Sh 950,000

Maelezo

Nikon D5100 ni kamera yenye uwezo mkubwa wa kupiga picha zenye ubora wa juu inayokuja na lenzi ya 18-55mm na image sensor ya megapikseli 16.2. Ni nzuri kwa matumizi binafsi au kikazi kwenye kurekodi na kupiga picha za harusi, matukio, na mandhari mbalimbali.

VIPENGELE MUHIMU

  • Aina ya Kamera: DSLR (Digital Single-Lens Reflex)
  • Image sensor: CMOS ya megapikseli 16.2, kinachotoa picha zenye uwazi na rangi halisi.
  • Lenzi: Inakuja na lenzi ya 18-55mm VR (Vibration Reduction) inayosaidia kupunguza mtikisiko wa kamera wakati wa kupiga picha.
  • Kioo cha Kuangalia (LCD): Kioo cha inchi 3 chenye Vari-Angle, kinachozunguka kwa urahisi kwa ajili ya kupiga picha kutoka pembe mbalimbali.
  • Video: Ina uwezo wa kurekodi video za Full HD (1080p) kwa ubora wa hali ya juu.
  • ISO: Inasapoti kiwango cha ISO kutoka 100 hadi 6400, kinachowezesha kupiga picha katika mwanga hafifu bila kupoteza ubora.
  • Modi za Kupiga Picha: Ina modi mbalimbali za ubunifu kama vile HDR, Night Portrait, na Close-up kwa picha za karibu.
  • Muundo: Imetengenezwa kwa muundo mwepesi lakini imara, rahisi kubeba na kutumia.

 

MAELEKEZO KWA VIDEO

BBA, Camera, Kariakoo - Mtaa wa Likoma, Dar es Salaam, -6.822704,39.272262, Tanzania
Hakuna!
Bidhaa
Aina
Tafuta
Akaunti