Maelezo
Nikon D5100 Camera ni kamera yenye uwezo mkubwa wa kupiga picha na video zenye ubora wa juu iliyotolewa mwaka 2011 na Nikon
Inakuja na lenzi ya 18-55mm na image sensor ya megapikseli 16.2. Ni nzuri kwa matumizi binafsi au kikazi kwenye kurekodi na kupiga picha za harusi, matukio, na mandhari mbalimbali.
VIPENGELE MUHIMU
- Aina ya Kamera: DSLR (Digital Single-Lens Reflex)
- Image sensor: CMOS ya megapikseli 16.2, kinachotoa picha zenye uwazi na rangi halisi.
- Lenzi: Inakuja na lenzi ya 18-55mm VR (Vibration Reduction) inayosaidia kupunguza mtikisiko wa kamera wakati wa kupiga picha.
- Lens Mount: Nikon F-mount – inakubali lenzi nyingi za Nikon na third-party
- Processor: Expeed 2 – inaboresha kasi na ubora wa picha
- Kioo cha Kuangalia (LCD): Kioo cha inchi 3 chenye Vari-Angle, kinachozunguka kwa urahisi kwa ajili ya kupiga picha kutoka pembe mbalimbali.
- Video: Ina uwezo wa kurekodi video za Full HD (1080p) kwa ubora wa hali ya juu.
- ISO: Inasapoti kiwango cha ISO kutoka 100 hadi 6400, kinachowezesha kupiga picha katika mwanga hafifu bila kupoteza ubora.
- Exposure Modes: Auto, Scene modes (Portrait, Landscape, Sports, Close-up, Night Portrait), na Manual .
- Autofocus:11-point AF system (Multi-CAM 1000 module) na modes kama AF-S, AF-C, AF-A, na Manual
- Storage: SD, SDHC, SDXC (inaunga mkono Eye-Fi WLAN na UHS-I cards
- Muundo: Imetengenezwa kwa muundo mwepesi takriban 560g (body only) lakini imara, rahisi kubeba na kutumia.
Faida za Nikon D5100 Camera
- Ubora wa picha wa juu kwa sensor ya 16.2 MP na processor Expeed 2.
- Video bora (Full HD 1080p) na uwezo wa kutumia special effects moja kwa moja.
- LCD inayozunguka → inarahisisha kupiga picha “self-portrait”, video blogging, au angle ngumu.
- ISO pana → inafanya kazi vizuri hata kwenye mwanga mdogo.
- Lens compatibility → inakubali lenzi nyingi za Nikon F-mount, ikitoa nafasi ya ubunifu.
MAELEKEZO KWA VIDEO





