Maelezo
Kama unatafuta njia za kupata MTAJJI wa biashara, kitabu hiki ni kwa ajili yako.
Kitabu cha MTAJI kimebeba njia 12 za kupata mtaji-pesa. Utajifunza kutoka kwa mifano iliyoko kwenye kitabu ya watu mbali mbali waliopata mtaji wa biashara kupitia njia tofauti.
Anza kusoma sasa hivi. Huwezi kukosa njia hata moja kati ya hizi 12.
