Maelezo
Karibu Mkingie Online Services kwa usaidizi wa huduma zote za maombi ya mtandaoni (Online applications).
Tunatoa huduma zifuatazo kwa ustadi na uaminifu mkubwa;
- Maombi na uhakiki wa cheti Cha kuzaliwa/kifo
- Maombi ya TIN number
- Maombi ya leseni ya biashara
- Maombi ya usajili wa kampuni na jina la biashara (Brela)
- Maombi ya loss report
- Maombi ya usajili wa vikundi vya ujasiriamali
- Maombi ya vyuo na mikopo HESLB
- Maombi ya AVN number
- Maombi ya passport ya kusafiria.
- Kufungua akaunti na Maombi ya ajira kwenye ajiraportal
- Kufungua akaunti ya Zanajira (Zanzibar)
- Kufungua akaunti na maombi kwenye mfumo wa TAESA
- Na huduma zingine za mtandaoni.
Karibu ujiunge na channel yetu ya matangazo ya Ajira
