Pikipiki za watoto

Sambaza:

Sh 150,000

Biashara:  Neema Market

Maelezo

Hizi ni pikipiki ndogo za watoto kuanzia umri wa miaka 6 hadi miaka 15. 

Inakuja na 

  • Remote controller
  • Zina tairi 3 kwa ajili ya balance
  • Motor mbili
  • Bluetooth music
  • 24 Hours battery 

Zipo kwenye classic design na stability.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma