Maelezo
PlayStation 3 Slim (PS3 Slim) ni toleo lililoboreshwa la kifaa maarufu cha michezo cha Sony PS3, likiwa na mwonekano mwembamba , kimya zaidi na matumizi madogo ya umeme kuliko toeo la awali.
Furahia ulimwengu wa michezo maarufu kama vile The Last of Us, God of War III, GTA V, FIFA series, Uncharted series na mingine mingi!
Unaweza pia kuangalia Filamu, na burudani kwa ubora wa hali ya juu kwenye flash au CD kupitia PS3 Slim.
Vipengele muhimu vya PlayStation 3 Slim
- Storage 120GB/250GB
- Wireless controllers (Padi) – 2
- HDMI cable
- Power cable
- Charging cables
- Games 10+ installed
Faida kwa Mtumiaji PlayStation 3 Slim
- Matumizi madogo ya umeme → hupunguza joto na kelele.
- Muundo mwembamba na mwepesi → rahisi kubeba na kupangilia.
- Ubora wa HD (1080p) → michezo na filamu zinachezwa kwa ubora wa juu.
- Blu-ray & DVD player → inafanya kazi kama kifaa cha burudani kamili.
- Wi-Fi na HDMI → rahisi kuunganisha na TV na mtandao.
ni konsoli ya michezo ya video yenye muundo mwembamba, nguvu ya 150W CPU/GPU, na uwezo wa kuhifadhi hadi 320GB. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa michezo na filamu wanaotaka kifaa cha burudani chenye ubora wa juu na matumizi madogo ya nishati.

