Maelezo
PlayStation 3 Slim (PS3 Slim) ni toleo lililoboreshwa la kifaa maarufu cha michezo cha Sony PS3, likiwa na mwonekano mwembamba , kimya zaidi na matumizi madogo ya umeme kuliko toeo la awali.
Furahia ulimwengu wa michezo maarufu kama vile The Last of Us, God of War III, GTA V, FIFA series, Uncharted series na mingine mingi!
Unaweza pia kuangalia Filamu, na burudani kwa ubora wa hali ya juu kwenye flash au CD kupitia PS3 Slim.
VIPENGELE MUHIMU
- Storage 120GB/250GB
- Wireless controllers (Padi) – 2
- HDMI cable
- Power cable
- Charging cables
- Games 10+ installed

