Maelezo
Kwa Fundi wa Simu, Electronics na vito vya thamani:- Ona kila detail kuanzia 7X hadi 50X Continuous Zoom! Picha kali HD, haumizi macho, na unaweza kuunganisha na monitor/TV moja kwa moja kupitia trinocular port.
Sifa Kuu:
- 7X-50X Zoom ya kuendelea – hakuna kuruka
- Trinocular head – weka camera urekodi kazi yako
- LED Ring Light 144 – mwanga mkali, hauna kivuli
- Perfect kwa BGA, IC, CPU reballing & micro-soldering
Free delivery Dar. Mikoani tunatuma.
