Maelezo
- Smart Watch ni saa ya kisasa ambayo inavaliwa mkononi kama saa nyingine na inaweza kutumika kama simu yako ya mkononi.
D25 Watch 4 Pro ni Smart Watch iliyotengenezwa kwa kuzingatia mahitaji ya muonekano, utendaji, na teknolojia katika kifaa kimoja. Package yake inajumuisha:
- Smartwatch yenye skrini ya rangi, touch screen, na muundo wa kuvutia.
- Mikanda mitatu ya ubora wa juu (kwa kubadilisha kulingana na mtindo au tukio)
VIPENGELE MUHIMU
- Simu Moja kwa Moja: Piga na pokea simu moja kwa moja kupitia saa bila kutumia simu yako
- Arifa za Meseji: Inapokea notification kutoka WhatsApp, SMS, na mitandao mingine ya kijamii
- Afya Yako Kwanza: Inapima presha ya damu na mapigo ya moyo kwa ufuatiliaji wa afya yako kila siku
- Remote Camera: Chukua picha kwa mbali kwa kutumia saa yako kama remote ya kamera ya simu
- Kalenda na Saa: Ratibu siku zako kwa kalenda ya ndani na saa ya kisasa
- Hesabu ya Kalori: Fuatilia kalori unazotumia kila siku kwa ajili ya malengo ya kiafya
- Michezo Ndani ya Saa: Furahia michezo ya kujiburudisha moja kwa moja ndani ya saa
- Water Resistant: Hivyo haiingii maji hata ukinyeshewa na mvua.





