Uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu

Sambaza:


Maelezo

Tunatoa huduma za kitaalamu za utafiti wa maji chini ya ardhi, uchimbaji wa visima vya maji na ufungaji wa mifumo ya pampu kwa matumizi ya makazi, taasisi, biashara, migodi na miradi mbalimbali ya maendeleo. Timu yetu hutumia mbinu za kisasa kutambua maeneo yenye uwezekano mkubwa wa upatikanaji wa maji kabla ya kuanza uchimbaji.

Baada ya uchimbaji wa kisima, tunafunga mifumo ya pampu inayokidhi mahitaji ya mteja na kuhakikisha maji yanapatikana kwa ufanisi. Pia tunafanya pumping tests ili kupima uwezo wa kisima kuzalisha maji na kusaidia katika uchaguzi sahihi wa pampu na mfumo wa usambazaji wa maji.

Lengo letu ni kuhakikisha wateja wanapata suluhisho la uhakika la upatikanaji wa maji kwa kuzingatia viwango vya kitaalamu na ubora wa huduma. Tunatoa huduma kuanzia hatua ya utafiti hadi kisima kuanza kufanya kazi kikamilifu.

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma