W-KING T8 SPEAKER

Sambaza:

Sh 250,000

Biashara:  Seb_istore

Maelezo

Furahia muziki wenye ubora wa juu ukiwa na W-KING T8 Speaker, spika yenye kutoa sauti safi, bass yenye nguvu na experience ya kipekee ya kusikiliza muziki, kutazama movies au kufurahia burudani zako muda wowote.

Ikiwa na betri yenye uwezo wa kudumu hadi masaa 8 kwa chaji moja, unaweza kuendelea na muziki wako bila usumbufu. Ina Bluetooth connection yenye kasi na uimara, inayokuwezesha kuunganisha simu yako kwa urahisi na kucheza nyimbo zako bila waya.

Muundo wake ni portable na stylish, unaorahisisha kubeba popote unapokwenda — iwe ni nyumbani, kazini, safari, sherehe au mapumziko. Pia ina support ya Flash Disk na Memory Card, hivyo unaweza kusikiliza muziki wako hata bila kuunganisha simu.

Sifa kuu za W-KING T8 Speaker:

  • Sauti kali na safi yenye bass nzuri
  • Battery inayodumu hadi masaa 8
  • Bluetooth connection nzuri na rahisi kutumia
  • Portable na design ya kisasa
  • Support Flash Disk na Memory Card
  • Warranty ya mwaka mzima (1 Year Warranty)

Pia tunatoa delivery bure nchi nzima 🇹🇿.

Agiza sasa upate burudani yenye ubora na vibes za kipekee popote ulipo. 🎶

VIUNGO MUHIMU

Hakuna!
Bidhaa
Tafuta
Huduma