Maelezo
WMT-914A23 Washing Machine ni mashine ya kufulia kutoka kampuni ya Westpoint yenye uwezo mkubwa wa kufua mpaka uzito wa kilo 9, spin speed ya 1400 rpm, na teknolojia ya inverter inayopunguza matumizi ya umeme huku ikilinda nguo zako.
VIPEGELE MUHIMU
- Brand/Model: Westpoint WMT-914A23
- Aina: Front-loading, Free-standing
- Uwezo wa kufua: 9 kg – inafaa familia kubwa au mzigo mwingi wa nguo
- Spin Speed: 1400 rpm (hutoa kukausha haraka na bora)
- Idadi ya Programs: 16 (ikiwemo Eco wash, Steam function, Extra rinse, Drum cleaning)
- Rangi: Silver/Gray
- Display: Digital display kwa urahisi wa kudhibiti settings
- Ukubwa wa mashine: Takribani 845 x 600 x 595 mm
- Uzito wa mashine: 52 kg
- Start Delay: Unaweza kupanga muda wa kuanza kufua (Automatic)
- Cold Wash Option: Husaidia kulinda rangi na kupunguza matumizi ya nishati
- Steam Function: Husaidia kuondoa harufu na mikunjo kwenye nguo
- Drum Cleaning Program: Huhakikisha mashine inabaki safi na yenye afya
- Extra Rinse & Extra Spin: Kwa nguo zinazohitaji usafi wa ziada
UFANISI NA MATUMIZI YA NISHATI wa WMT-914A23 Washing Machine
- Energy Class: A / A+++ – inahakikisha matumizi madogo ya umeme
- Matumizi ya Umeme: ~49 kWh kwa mizunguko 100
- Matumizi ya Maji: ~49 L kwa kila cycle
- Kiwango cha kelele: 49 dB wakati wa kufua, 76 dB wakati wa spin





